“Ruto Ni Mtu Mdogo Kwangu!” Raila Amsuta Naibu Rais Hadharani

0

Huku uchaguzi Mkuu ukiwadia siasa za vuta nivute zinazidi kushuhudiwa huku kiti Cha urais kikionekana kuvuta ilihamu ya wengi. Aidha, Vita za kisiasa baina ya Naibu Rais William Ruto and Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga vitashuhudiwa kuimarika kutokana na matamshi yanayotolewa baina yao katika pita pita zao za kisiasa.

 

 

Kiongozi wa Chama Cha ODM Raila Odinga Adai Kwamba Naibu Rais Ruto Ni Mtu Mdogo Sana kwake na Wenda hatakuwa tishio Katika uchaguzi Mkuu mnamo 2022. Kwenye mahojiano ya kituo kimoja Cha televisheni mnamo jumatano usiku, Bwana Odinga alibaini kwamba haogopi ushindani wa Kisiasa kutokana na Naibu Rais Ruto ikiwa wawili hao watawania urais mnamo 2022.

READ ALSO:   Ruto Matatani? Taarifa Za Kuhofisha Zaibuka

Ingawa Waziri huyo Wa Zamani Raila Odinga hajaweka bayana Kuwa atawania urais 2022, alimtaja Naibu Rais William Ruto Kama mtu Mdogo kwake ingawaje halishindwa Katika uchaguzi Mdogo Wa Msambweni ambapo mgombea huru Feisal Abdallah Bader aliibuka mshindi. Feisal alikuwa mwandani wa Ruto Ambaye alimuunga Mkono kufanya kila juhudi kuhakikisha ushindi wake.

 

Picha: Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga

Hata hivo, Naibu Rais William Ruto anabaini Kuwa Licha ya kuzindua BBI, hitamzuia kuwania kiti Cha urais 2022. Wandani Wake wamekuwa wakimsuta Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kwa kuvuruga amani Katika Chama Cha jubilee Baada ya kuungana na Rais Uhuru Kenyatta.

Fuata Kwenye tovuti Stateupdate.co.ke Kupata habari Zaidi

 

Advertisements

Leave a Reply