Pigo Kwa Raila Na Ruto Baada Ya Rais Kenyatta Kuonekana Kubadili Mkondo Hadharani

0

 

Rais Uhuru Kenyatta aonekana Kubadili Mkondo wa kuteua Atakayemrithi huku akielekea kustaafu. Rais Kenyatta hapo awali alikuwa ametoa ahadi kwa Naibu wake William Ruto Kuwa yeye ndiye Atakayemrithi Baada ya Kipindi chake uongozini kukamilika.

 

Aidha, Hali ilibadilika Baada ya Rais Kenyatta kuungana na Kiongozi wa Upinzani bwana Odinga mnamo machi, 2020.

Ungano huu ulisababisha Naibu Rais William Ruto kudhalilishwa licha ya Kwamba yeye ndiye wa pili kwa amri Serikalini. Wandani Wa Rais Kenyatta na Bwana Odinga wamsuta Ruto vikali na kutisha kumng’oa mamlakani kutokana na visa vya ufisadi vinavyomsakama. Rais Kenyatta hivi majuzi aliondoa majukumu ya Naibu Rais Ruto na kuyadhibiti.

Picha: Rais Kenyatta (Kushoto) na Seneta wa Baringo Gideon Moi (Kuria)

Aidha, hata Baada ya Rais Kenyatta kuungana na aliyekuwa Waziri wa Zamani Raila Odinga, taarifa zaibuka Kwamba wenda Rais Kenyatta akabadili mkondo kumteua Kama mrithi wake.

 

 

Bwana Odinga atarajiwa kuongoza Taifa la Kenya mnamo 2022 Baada ya kustaafu kwa Rais Kenyatta kutokana na matarajio ya wengi. Hata hiyo Hali yaonekana kinyume Baada ya Rais Kenyatta kuonekana kubadili njama huku akimlenga seneta wa Baringo Gideon Moi Kama mrithi Wake.

 

Akizungumza, mbunge wa Gatundu kusini Moses Kuria alibaini Kwamba, Rais Kenyatta apanga kumsaliti Raila Odinga Kama alivyomfanya Naibu Wake Ruto na kumteua Gideon Moi kuongoza Taifa.

READ ALSO:   How Merciless Uhuru Locked Ruto Out Of BBI KICC Event
Moses-Kuria-I-210960f4
Picha: Mbunge wa Gatundu kusini Moses Kuria Katika hafla ya apo awali 

Kuria alidai kwamba mlengo wa Ruto na Wa Bwana Odinga wataungana kuunda mlengo mmoja mpya kukabiliana na Rais Kenyatta kwa njama anayonuia kuitekeleza.

Fuata Kwenye tovuti www.stateupdate.co.ke Kupokea Habari zaidi

Advertisements

Leave a Reply