Picha Za Wanawake Mashuhuri Waliolala Na Diamond Zafichuliwa

0

Msanii wa Bongo Naseeb Abdull maarufu Diamond Platnumz amechipuka na kuwa nyota kwenye ulingo na fani ya muziki si Afrika tu bali Duniani kote..Simba, kama anavyopenda kujitambulisha ameutesa ulimwengu wa muziki na pia kwenye maswala ya mapenzi amekuwa wembe.Umaarufu, uwezo wa kifedha na michepuko ya kimitindo imechangia yeye kuwa na wanawake si haba.
Mondi ametamba Afrika Masharki akikwachua wanawake toka nchi hizo na aghalabu akapata watoto nao.Hii hapa listi ya wanawake maarufu aliowahi lala nao.
Tanasha Donna
Binti huyu mwenye asili ya Kenya alijipata kanaswa kwenye chambo cha Mondi.Donna ambaye ni msanii na pia mwanahabari alijiingiza kwenye mapenzi na Diamond muda mfupi baada yake kutalakiana na Zari.Uhusiano wao ulifikia kikomo siku ya wapendanao”valentine” Februari 14 na walijaliwa mtoto mmoja wa kiume.Tanasha alimwacha Mondi kwa tuhuma za kwenda nje ya ndoa na video voxen wake kwenye wimbo wa “jeje”.

Zari Hassan
Zari ni mwanamitindo kutoka taifa la Uganda. Uhusiano wake na Simba ulidumu kwa muda mrefu na hata wakajaliwa kuoata wana wawili, wa kiume na kike , Tiffah na Dangote.Uhusiano
wao ulitamatika baada ya Zari kudai kuwa kachoka kumvumilia Simba aliyekuwa akitoka nje na wanadada wengine.

READ ALSO:   Revealed! Truth On What Killed 'Black Panther' Star Chadwick Boseman

Hamisa Mobeto
Hawakuwai tangaza kuwa wameoana na Chibu.Hamisa alikuwa vixen kwenye wimbo wake Diamond wa Salome.Hapo mdipo Simba alimvizia na kumpachika mimba ila alimwacha kwa tuhuma za kwenda kinyume kwa kumvizia Zari.
Mungilwa Penniel
Asili yake Bongo.Penniel alikuwa sahibu wake Wema Sepetu na baada ya Wema kuvunja uhusiano na Mondi, Penniel alishikilia usukani.Hiu ulikuwa mwaka wa 2013.Kwenye moja kati ya kazi zake Diamond, Sikomi, alidai kuwa Penniel aliavya ujauzito wake.
Jokate Mwangelo
Jokate amechipuka na kusema kuwa anatamani kuolewa na apate watoto.Licha ya kuwa mwanamitindo mwenye mvuto na umbo la kugugumiza mate, hajapat mtu.Aliwai toka na Diamond pia King Kiba lakini wote walimbwaga na kuwaoa wanawake wengine.Umaarufu wake kwenye sanaa ulichangia Rais magufuli kumchagua awe mkuu wa wilaya ya Kisarawe.

Irene Wuoya
Alikiwa kimanzi wake Dogo Janja.Mwaka wa 2018, Diamond aliposti picha yake kwenye mitandao na kusimumua hisia mionhoni mwa wafuasi wake.
Hawa
Hawa alishirikishwa na Diamond kwenye kazi yake ya Nitarejea. Ilidaiwa kuwa walikiwa kwenye uhusiano lakini Simba akaachana nayem Mwaka wa 2017, Hawa alidai kuwa anapambana na uraibu wa mihadarati akiwa kwenye uchochole.


Wema Sepetu
Wema ni mchezaji filamu maarufu mwenye mvuto wa kiaina.Uhusiano wake na Simba haujawai eleweka maadamu walikuwa kwa pamoja kwa miaka minne.Posti zao kwenye mitandao inaonyesha kuwa hawa wawili ni marafiki wa dhati licha ya kuwa walitengana.

Advertisements

Leave a Reply