Home News Njia Rahisi Ya Kupata Pesa Katika Kipindi Hiki Cha Covid-19

Njia Rahisi Ya Kupata Pesa Katika Kipindi Hiki Cha Covid-19

1
Njia Rahisi Ya Kupata Pesa Katika Kipindi Hiki Cha Covid-19

Tangu kuchibuka kwa virusi Vya covid-19, mataifa mengi duniani yamekuwa yakikumbwa kwa kiasi kikubwa, jambo ambalo limeendelea kuathiri uchumi wa mataifa mengi duniani. Hali hii imesababisha watu wengi kuacha Kazi zao na kurejea nyumbani kwa ajili ya kuzuia kutapakaa kwa virusi hivi hatari. Taarifa zinabaini Kwamba wengi wamepolea maskani mwao bila la Kufanya,huku uchumi ukionekana kusorota, Hali Ambayo imesababisha maisha Kuwa magumu.

Aidha, Licha ya Hali hii, na kuidhinishwa kwa vikwazo mbalimbali na Serikali kuzuia kuenea kwa virusi hivi, kuna Baadhi za Kazi utakazojihusisha nazo ukiwa maskani mwako na kujipatia pato litakalokusaidia kumudu mahitaju ya familia yako katika kipindi hiki kigumu. Moja ya Kazi hizi Ni uadishi mtandaoni yaani kwa lugha ya Kimombo (online writing). Kama kwa kweli wewe una kipaji hiki Cha kuandika makala katika matandao, basi hii ndio fursa mwafaka kwako. Wahitaji kujikakamua haraka ipasavyo na kujipatia pato kwa njia rahisi. Uandisha makala mtandaoni hauhitaji Nguvu nyingi Bali Ni ubunifu.

PICHA: Mtu anayetumia kipakatarishi Kuandika makala mtandaoni

Hata hivyo, waweza Kuwa Na ilhamu ya kuandika makala mtandaoni lakini hufahamu Aina za tovuti mbalimbali za kuandika makala haya. Baadi ya tovuti tambuzi Ni State Update News. Ni tovuti Ambayo unaweza kujipatia fursa ya kuandika makala, Kisha kuchapisha na kupokea malipo Mwisho was mwezi. Ukitaka kufahamu mengi zaidi kuhusu tovuti hii waweza kuwasiliana nao katika tovuti yao kwa kubovya www.stateupdate.co.ke katika kitengo Cha kuwasiliana nasi (contact Us). State Update News Ni tovuti inayopeperusha taarifa mwafaka Punde zinapojiri na kukupasha mengi kila siku. Tembelea tovuti (www.stateuodate.co.ke) kujionea mengi.

PHOTO: Mtu anayetumia simu Kuandika makala mtandaoni

Baaadhi ya majukwaa ya uandishi mtandaoni ni pamoja na Opera News Hub. Jukwaa hii ya uandishi imesaidia wengi mno hasa walio na kipaji au ilihamu katika nyanja za uandishi. Kujiunga Na jukwaa hii ya uandishi Ni rahisi. Waweza kutafuta kiungo Cha kujiunga kwa kuandika katika utaftaji mtandao ( opera News Hub sign Up) na kujiunga. Aidha wafaa kumiliki namba ya akaunti yako. Huwa malipo yanafanywa katikati ya mwezi Ujao.

READ ALSO:   4 Succumbed To Covid-19 As The Total Cases Shoots To 34,705

Jukwaa nyingine ya uandishi matandaoni ni Scooper. Tovuti hii pia imesaidia wengi. Pia hufanya Kazi Kama Opera News Hub. Kujiunga na tovuti hii pia si Jambo gumu Bali Ni kuandika katika utaftaji matandaoni ( Scooper Online Platform) na kujiunga. Unahitaji kumiliki Nambari ya simu na Nambari ya mamlaka ya mapato Kenya yaani (KRA PIN). Scooper hulipa katikati ya mwezi Ujao.

PICHA:Pesa

Nikikamilisha, Ni Muhimu kutambua Kwamba kiwango Cha mapato hutegemea na idadi ya makala uliyoyaandika kwa majukwaa haya ya uandishi matandaoni. Kiwango Cha mapato chaweza kuongezeka kwa kuandika makala mengi na yenye ushawishi mkubwa au mvuto na yanayozua athari. Pia Ni Jambo la busara kufahamu Kwamba kuandika makala mengi si hoja bali Cha msingi Ni ule ushawishi au mvuto na athari inayoletwa na makala yako.

Waweza Kutoa Maoni, Kushirikisha Na Kutufwata Kwa tovuti www.stateupdate.co.ke kupata habari Zaidi.

Advertisements
Advertisements

1 COMMENT

Leave a Reply

%d bloggers like this: