Connect with us

News

Je, Kuna Uwezekano Wa Virusi Vya Covid-19 Kuisha Hivi Karibuni? Hofu Yaibuka

Daniel Mutuva

Published

on

Hofu imetanda kote ulimwenguni kutokana na Janga hili hatari la virusi Vya covid-19 ambalo limekumba mataifa mengi Duniani. Aidha, taarifa zinabaini Kwamba janga hili ndio limeanza kuyakumba kwa kiasi kikubwa mataifa machanga basi kuchangia kutoisha kwa virusi hivi hivi karibuni.

Aidha, nchini mbalimbali zinajisadidi Kufanya uchunguzi maabarani hili kupata chanjo au tiba mwafaka ya virusi hivi hatari. Kulinga na muujibu wa ripoti za hivi karibuni, Kuna Baadhi ya Mambo ambayo yanayochangia kutoisha kwa janga hili hivi karibuni. Tangu kuchibuka kwa virusi hivi vya covid-19,Serikali za nchi mbalimbali Duniani zikishirikiana na Shirika la Afya Duniani zilizua Sheria mbalimbali kwa ajili ya Kudhibiti kuenea Zaidi kwa Ugonjwa huu.

Baadhi ya sheria zilizowekwa kuzuia kutapakaa kwa virusi hivi Ni Kunawa Mikono kwa Kutumia kitakaza mkono, Kutokaribiana, kuvalia barakoa na kadhalika. Aidha, taarifa zinabaini Kwamba wengi wameonekana kupuuza baadhi ya Sheria hizi ndiposa virusi hivi vinazidi kutapakaa kwa kiasi kikubwa kuchangia idadi ya wanaopatwa na virusi hivi kuongezeka huku idadi ya vifo ikishuhuduwa kuongezeka kila siku.

Picha; Virusi Vya Covid-19

Kulingana na ripoti, mataifa mengi ndio yameanza Kukumbwa Na virusi hivi hasa mataifa machanga, hivo basi uwezekano Wa kuisha kwa virusi hivi ukionekana kudidimia. Baadhi ya mataifa Afrika yako katika hali hatari kwa muujibu wa ripoti huku uchumi Wa mataifa mengi Afrika ukionekana kusorota kwa kiasi kikubwa.

READ ALSO:   Panic As Another Great Politician Succumbs To Covid-19

Kitakachochangia kupunguka kwa virusi hivi Ni kufuata Sheria za Kudhibiti Ugonjwa huu zilizothibitishwa na shirika la Afya Duniani na kuhakikisha mataifa yote yanaendana na Sheria hizi bila Kupuuza.

Toa Maoni, Shirikisha na Fuata Kwenye Tovuti Stateupdate.co.ke Kupokea Habari Zaidi Punde Zinapojiri.

Advertisements
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Trending

%d bloggers like this: