Hatimaye Rais Uhuru Kenyatta  Apata Sifa Tele Kwa Kufanikisha Hii Miradi

0
PICHA: Rais Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta hatimaye amepokezwa sifa tele kwa kufanikisha miradi ya ujenzi Wa barabara na Reli ya kisasa. Taarifa zinabaini Kwamba Serikali ya Jubilee inayoongozwa na Rais Uhuru Imefanikisha mengi ambayo Ni kinyume kwa Baadhi ya wananchi wanaokosoa Serikali yake. Kulingana na taarifa, hakuna Serikali katika historia nchini Kenya imefanikisha kujenga barabara nyingi Kama Serikali inayoongozwa na Uhuru Kenyatta.

Kulingana na ripoti, tangu Rais Uhuru ateuliwe Mamlakani Mnamo mwaka 2017, barabara za urefu Wa Kilomita 3000 zilikuwa zimekamilika katika mwezi wa Mei mwaka wa 2018. Pia taarifa zinabaini Kwamba barabara za urefu wa Kilomita 5000 zinaendelea kujengwa Ambazo hazijakamilika. Kulingana na ripoti za kina, katika miaka hamsini yangu Kenya ipate Uhuru, hakuna serikali imefanikisha kujenga reli. Serikali ya Rais Uhuru ndio peke yake imefanikisha ujenzi wa Reli ya Kisasa iitwayo SGR.


Kutoka na Reli hii ya kisasa, Sasa abiria aweza Kusafiri Kutoka Nairobi Hadi Mombasa kwa takribani masaa manne tu. Pia imesaidia katika usafirishaji Wa Mizigo Barabarani ambapo Bei imepunguka Kutoka Shilingi 200,000 Hadi Shilingi 40,000. Hizi Ndizo Baadhi za sifa alizozipokea Uhuru kwa ufanisi wake;

“Ninaelewa kuwa wengi wako hawajui hii; Hakuna Serikali nyingine katika historia ya Kenya imeunda barabara zaidi ya Serikali ya sasa ya Rais Uhuru Kenyatta. Kufikia Mei 2018, kilomita 3,000 za barabara zilikuwa zimekamilika na zaidi ya kilomita 5,000 zinaendelea kujengwa #UhuruNaKazi,” MARIGIRI Asema katika mtandao wa twitter

READ ALSO:   Tanasha Donna's Million Dollar Moves On Her Birthday


“Miaka 50 ya uhuru, Kenya haikuijenga sentimita ya mstari wa Reli, Halafu Rais Uhuru Kenyatta alitokea, na tunayo SGR, Masaa manne wewe uko Mombasa kwa hisani ya Madaraka Express. Gharama ya Usafirishaji wa Mizigo imepunguzwa kutoka Shilingi 200,000 kwenye barabara hadi Shilingi 40,000 #UhuruNaKazi.” Kitsuru Oligarch Asema katika mtandao wa twitter

” Rais Uhuru Kenyatta ndiye Rais bora Kenya tumewahi na tuko naye. Ameunda barabara kwa kiwango ambacho hakijawahi kuonekana hapo awali. Reli ya SGR pia imeundwa kubadili miji ambayo inapita katika suala la shughuli za kiuchumi zinazoongezeka. #UhuruNaKazi,” Wafuasi Wa Uhuru wasema

Toa Maoni, Shirikisha Na Fuata Katika Tovuti ya stateupdate.co.ke Kupata Habari Zaidi

Advertisements

Leave a Reply