Connect with us

Education

Hatimaye Mudavadi Aonyesha Jinsi Watoto Kutoka Familia Maskini Wanateseka Kupata Elimu

Daniel Mutuva

Published

on

Kinara Wa Chama Cha ANC Musalia Mudavadi hatimaye amebaini namna watoto Kutoka Familia maskini wanateseka kupata elimu kumptia mfumo wa dijitari ulioidhinishwa na Serikali katika msimu huu Wa janga la covid-19. Kutokana na virusi hivi, Serikali ililazimika Kufunga taasisi zote za kielimu ili kuzuia kuenea Zaidi kwa virusi hivi hatari.

Aidha, ili kuendeleza masomo, Serikali ilizindua mfumo wa dijitali Ambapo mafunzo yalianza kupeperushwa kuptia redio, runinga na mtandaoni ili wanafunzi waweze kuendeleza masomo yao. Licha ya Kwamba Serikali ikishirikiana na wizara ya elimu ilijikaza kufanikisha masomo haya ya dijitali taarifa zabaini Kwamba Baadhi ya wanafunzi hususan Kutoka Familia masikini hawawezi kujimudu ili kupata mafunzo.

PICHA; Watoto wanatazama mafunzo Kwenye Televisheni

Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi, ameelezea changamoto wanafunzi Kutoka Familia masikini wanazopitia Ambazo zinawapelekea kutofaidika na masoma haya ya dijitali. Mudavadi alibainisha Kwamba, hawapati haki kwani hawana intaneti kuendeleza masomo. Akizungumza Kupitia runinga ya ntv, Mudavadi alisema wanafunzi Kutoka Familia masikini wasitenge na waweze kupata haki Kama wengine.

Mudavadi alionekana akitetea haki za wanafunzi hususan katika Hali hii ngumu taifa la Kenya linakumbwa na Janga la covid-19. Taarifa zinaeleza Kwamba sio wanafunzi Wote wanao uwezo wa kusoma mtandaoni kutokana na umaskini. Serikali ilitanganza kufunguliwa kwa shule mwaka Ujao ili kukabiliana na virusi Vya covid-19 Ambavyo vimetatiza Hali ya taifa.

READ ALSO:   Kimunya Breaks Silence After Merciless Uhuru Stepped Into KICC To Remove Duale

Toa Maoni, Shirikisha na Fuata Kwenye tovuti ya stateupdate.co.ke Kupata habari Zaidi

Advertisements
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Trending

%d bloggers like this: