Connect with us

Swahili News

Ruto Aongwa Kuunga BBI? Ripoti Zaibuka Baada Ya Kutangaza Msimamo Wake

Daniel Mutuva

Published

on

Picha: Naibu Rais William Ruto Akihutubia

Huku shughuli ya  ukusanyaji saini wa Ripoti ya BBI ikiendelea kwa ajili ya kutekeleza kura ya Maoni itakayochangia mageuzi ya Katiba, Naibu Rais William Ruto asutwa Vikali kwa kutotangaza msimamo wako thabiti kama kwa kweli anaunga mkono ripoti ya BBI au la?

 

 

Hata hivyo hatua ya hivi Karibuni ya Naibu Rais William Ruto kwa ripoti ya BBI imezua mjadala kwa wengi kulingana na matamshi yake ya hivi Karibuni ambapo Ruto alionekana akiunga mkono ripoti ya BBI ilhali ndiye alikuwa mpizani mkubwa hapo awali. Naibu Rais Ruto alijitokeza kuunga Mkono ripoti hiyo licha ya kuipinga katika pitapita zake za Kisiasa.

 

 

Aidha, inabainika kwamba Naibu Rais Ruto hakuhudhuria hafla Muhimu ya Uzinduzi wa Ukusanyaji saini wa Ripoti ya BBI katika kituo Cha Mikutano Cha kimataifa Cha Kenyatta(KICC),iliyoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Chama Cha ODM Raila Odinga.

 

 

Inabainika kwamba Ruto akutia saini ya Kukubaliana na ripoti ya BBI kwa Kukosa kuhudhuria hafla hiyo. Aidha, hatua ya Mwisho ya Naibu Rais William Ruto imewashangaza wengi kwa kujitokeza na Kuunga Mkono ripoti hiyo licha ya Kutotia saini kwenye uzinduzi wa ukusanyaji wa saini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC)

Picha: Rais Uhuru Kenyatta (Kushoto) na Kiongozi wa ODM Raila Odinga (kulia) katika shughuli ya Uzinduzi wa ukusanyaji saini wa BBI, KICC

Akihutubia, Naibu Rais William Ruto alibaini ya Kwamba Ni jukumu la kikatiba kumuunga na kusaidi Mkubwa wake Rais.

READ ALSO:   Raila's Camp Intimidates To Reject President Uhuru Under This Condition

 

 

“Nina jukumu la kikatiba kumsaidia bosi wangu, rais. Tumefanya uboreshaji kwa BBI post Bomas. Sasa tunafanya kazi juu ya makubaliano ya Wakenya kuwa na chaguo halisi za kuamua / kupiga kura wakati wanaepuka ndio / hapana, yote / hakuna mgawanyiko. Tuliepuka kupoteza-kupoteza tunaweza kushinda kushinda-kushinda kufikia kushinda-kushinda, “Naibu Rais aliandika Mtandaoni(Tafsiri)

 

Ruto hakuhudhuria Uzinduzi huo wa Ukusanyaji saini kinyume na viongozi wengine. Waliohudhuria ni pamoja na Kiongozi wa Chama Cha KANU Gideon Moi, Kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi, Wa Ford Kenya Mioses Wetangula na Wafula Wamunyinyi, Wa Narc Charity Ngilu, Wa Maendeleo Chap Chap Alfred Mutua na wengineo.

 

Fuata Kwenye tovuti Stateupdate.co.ke Kupokea Habari Zaidi.

Advertisements
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Trending

%d bloggers like this: